Slaus Technologies Tz1
 

Harakati za jiji Harakati za jiji Author
Title: BASI LA HOOD LAGONGANA NA LORI NA KUPINDUKA KWENYE MLIMA KITONGA
Author: Harakati za jiji
Rating 5 of 5 Des:
Basi la kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha jana  mchana lilipata ajali na kupinduka katika mlima Kitonga ...
Basi la kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha jana  mchana lilipata ajali na kupinduka katika mlima Kitonga mkoani Iringa baada ya kugongana na lori la mafuta.
 
Katika ajali hiyo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine 43 wamejeruhiwa. Kati ya majeruhi hao 25 wapo Hospitali ya Itunda Ilula na 18 wapo katika Hospitali ya Mkoa.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top